Yanga waichapa Rhino Rangers goli 7-0 kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam.
Mshambuliaji mpya wa Young Africans Sports, Kennedy Musonda amefunga mawili dakika ya 16 na 16.
Kwa ushindi huo maningwa hao watetezi wanatinga hatua ya 16 bora.