Mchambuzi wa soka @allimzuri20 amewaambia wale wanaombeza Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda kwakutofunga goli kwenye Ligi Kuu katika michezo aliyocheza kuwa Jean Baleke wa Simba SC ni kwasababu ya kuwa chaguo namba moja.
”Tofauti ya Kennedy Musonda wa Yanga na Jean Baleke kutoka Simba ni kwasababu Baleke yeye ni chaguo la kwanza Simba.”- @allimzuri20