Muuguzi aliyempiga makofi mama mjamzito aingia kwenye 18 za Waziri Gwajima (+ Video)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kuchukua hatua za haraka dhidi ya muuguzi aliyetuhumiwa kumpiga makofi Mama Mjamzito huko Sumbawanga.

Kauli ya Dkt. Gwajima ameitoa Mkoani Geita wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Geita pamoja na kukagua huduma za Afya , ambapo ametoa masaa 24 awe amepata taarifa.

Bofya hapa chini kutazama.

https://www.instagram.com/tv/CJ_KLE3hrSQ/

https://www.instagram.com/tv/CJ_KLE3hrSQ/

Related Articles

Back to top button
Close