Michezo

Mwakinyo Bingwa wa WBC Africa baada ya kumdunda mpinzani wake kwa TKO (CVideo)

Mtanzania Hassan Mwakinyo amekuwa Bingwa wa WBC Africa (ABU) Super Welterweight baada ya kumdunda Anthony Mayala ndani ya Round ya 10 kwa TKO. Bondio huyo kutoka Tanga siku jana alionyesha uwezo mkubwa hali ambayo imemfanya apokee pongezi nyingi kutoka kwa Watanzania baada ya kumtwanga mpinzani wake.

Written by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button