Michezo
Mwakitalima: Mpanzu amekuja kuleta Ufalme wake TZ

Shabiki wa klabu ya Simba Mwakitalima amemwagia sifa nyingi mchezaji wa klabu ya Simba Ellie Mpanzu baada ya kiwango bora alichoonyesha siku ya leo na kudai kuwa amekuja kuleta Ufalme wake Tanzania.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa@Johnbosco_mbanga