Michezo
Mwamnyeto akataa Unyonge
“Nimeweka rekodi nzuri ambayo hata kizazi changu sitakuwa na maneno mengi kuwaambia kuhusu upambanaji wangu kwenye masuala ya soka, medali pekee zitatoa picha ya ubora wangu. .
“Mafanikio niliyoyapata Yanga ni misingi imara niliyojijengea kwa kuhakikisha nasaidiana na wenzangu kupambania timu ifikie mafanikio, ushirikiano mzuri baina ya wachezaji na benchi la ufundi ndiyo siri ya mafanikio.”