Mwana FA ameachia video mpya ya Gwiji akiwashirikisha Maua Sama na Nyoshi El Saadat(+Video)

Rapper wa muziki wa Bongo Fleva Binamu Mwanafalsafa alimaarufu Mwana FA ameachia video ya wimbo wake akiwashirikiaha Maua Sama na Nyoshi El Saadat. Ngoma hiyo ya Gwiji imefanywa na ProducerT Touch Mixing & Mastering: P Funk Directed by Hanscana.

Related Articles

Back to top button
Close