Mwanaharakati wa Belarus akutwa amefariki mpakani (+ Video)

Mkuu wa kundi linalosaidia watu kutoroka Belarus amepatikana akiwa amefariki karibu na mpaka wa nchi jirani ya Ukraine. Mwili wa Vitaly Shishov ulipatikana katika bustanimoja mjini Kyiv, siku moja baada kukosa kurejea nyumbani kutoka mazoezini. Polisi wameanzisha uchunguzi wa mauaji.

Polisi pia imeanzisha uchunguzi ikiwa aliuawa au kifo chake kilipangwa kuonekana kana kwamba amejitoa uhai. Bw. Shishov amekuwa akiongoza Belarus nchini Ukraine, kusaidia wale ambao wametoroka Belarus baada ya msako mkali. Ukraine, Poland na Lithuania ndio nchi ambazo zinapendelewa sana kufuatia.

Bofya hapa chini kutazama.

https://www.instagram.com/tv/CSHN7eTjtNX/

Related Articles

Back to top button