Mwanamitindo aeleza kuumia baada ya Vanessa Mdee kuacha muziki, Nilitamani kufanya nae kazi (+Video)

Msanii na Mwanamitindo Chrispnin amefungukamengi kuhusu kazi yake ya uanamitindo na kazi yake ya uigizaji.

Akiongea na Bongo5 ameeleza kuwa kazi ya Uanamitindo ni kazi ngumu sana na inayohitaji uvumilivu na kwa mara nyingine watu huwaponda na kuwaambiakuwa wanafanya kazi hiyo ili wapate wanawake kumbe sivyo bali wanafanya kwa ajili ya maisha.

Ameongeza kuwa katika kazi yake ya Uanamitindo alikuwa anatamani sana kufanya kazi na Vanessa Mdee ila ameumia sana baada ya Vanessa kutangaza kuachana na muziki.

“Niliumia sana Vanessa alipotangaza kuacha muziki ila naamini kuna siku ntafanya nae tu”

Related Articles

Back to top button