Bongo5 ExclusivesHabariMahojiano

Mwanasheria wa mke wa DR. Mwaka aeleza usumbufu anaopata mteja wake

Siku ya jana wakati mke wa Dr.Mwaka ameenda kudai Talaka yake BAKWATA aliambatana na mwanasheria wake anayejulikana kwa jina la Zakia Msangi.

Mwanasheria huyo al;ibahatika kuongea na wana habari na kueleza kwa urefu shida nini mpaka kufikia hatua ile ya kudai Talaka kwa nguvu.

Alieleza kwa urefu zaidi na pia usumbufu na vitisho annavyopokea mteja wake akidai vinatoka kwa watu wa karibu wa mume wake Dr.Mwaka.

Ameongeza kuwa wameiomba BAKWATA kuwa kamaa haiwezekani kupewa Talaka basi wanaomba fomu namba tatu ili waende mbele Mahakamani ingawa yeye anasema haamini kama suala hilo litafika mahakamani.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents