Fahamu
Mwanaume mwenye miaka mingi zaidi Duniani afariki

Mwanaume mmoja aitwaye Juan Vicente Perez Mora kutoka Venezuela ambaye alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa Mwanaume Mzee zaidi Duniani amefariki Dunia akiwa na miaka 114 Taarifa hiyo ilitolewa na ‘Guinness World Records’ Mzee huyo aliingia kwenye rekodi ya Dunia Mwaka 2022
Akiwa na miaka 112 na siku 253, Juan Vicente Perez Baba wa watoto 11 katika enzi za uhai wake alitumia maisha yake kulima pamoja na kuwa na ustadi wa kusuluhisha migogoro ya Ardhi.
Imeandikwa na Mbanga