Mwigulu: Akiba ya fedha za kigeni inatosheleza uagizaji kwa miezi 5.8

“Akiba ya fedha za kigeni inaridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi, hadi Aprili 2021 akiba ya fedha za kigeni ilikuwa USD Bil. 4.97 ambayo inatosheleza uagizaji kwa takribani miezi 5.8”

“Hadi Aprili 2021, deni la serikali lilikuwa shilingi Tril 60.9, ikilinganishwa na shilingi Tril 55.5 mwaka 2020, ongezeko hilo lilitokana na kupokelewa kwa fedha za mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo.

Related Articles

Back to top button