Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mwijaku aeleza sakata la Nandy na Zuchu lilivyo, Nandy alitaka nimchafue Zuchu

Breaking: Mwijaku ampeleka @officialnandy Mahakamani, anamdai kiasi hiki, afunguka suala la Zuchu na mengine.

Mtamgazaji wa Clouds media leo asububi 9/8/2022 majira ua saa mbili asubuhi amefika mahakama ya Mwanzo Sinza kwa ajili ya kusikiliza shauri lake na msanii wa Bongo Fleva @officialnandy

Kesi hiyo iliyofunguliwa na @mwijaku ni ya madai na ameeleza mwanzo mwisho kuhusu suala hilo.

Keshi hiyo imeahirishwa mpaka tarehe 22/8/2022 hapa hapa mahakamani ambapo mshitakiwa @officialnandy na mshitaki @mwijaku wanapaswa kuja na ushahidi wa madai yao ambapo @mwijaku ameeleza kuwa anamdai @officialnandy milioni 10 ambapo imepanda hadi kufika milioni 25 za kufanya matangazo mawili.

Mwijaku pia ameulizwa sakata la Zuchu ilikuwaje kudai kuwa Nandy anataka amchafue Zuchu?? Mwijaku ameeleza yote

Related Articles

Back to top button