SiasaVideos

Mwijaku ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea kiti cha Spika wa Bunge (+ Video)

Mtangazaji wa CloudsFm amekuwa mmoja ya watu waliojitokeza kuchukua fomu ya kugombea kiti cha Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kipo wazi sasa baada ya kujiuzulu Ndg.Job Ndugai.

Related Articles

Back to top button