Burudani
Mwijaku akabidhi Guta lingine Kariakoo
Shuhudi Balozi wa @silent oceanltd @mwijaku akifanya kufuru na nyomi la watu katika mitaa ya kariakoo wakati wa kukabidhi zawadi kwa mshindi wa pikipiki aina ya guta aliyejishindia zawadi hiyo kutoka kwenye droo ya #ukiagizahujapoteza iliyopo chini ya @silent ocean ltd ambapo kadri unavyoagiza unapata nafasi ya kujishindia zawadi nyingi ikiwepo toyota hareer anakonda itakayotolewa Feb 14.
Endelea kuagiza na @silent ocean ltd #ukiagizahujapoteza
#21yearsunniversary @counsellorsalaah
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo
Written and edited by #abbrah255 and @el_mandle_tz