Burudani
Mwijaku amkingia kifua Hamisa Mobetto ishu ya gari aliyopewa zawadi “Hamisa ana nyota sana” (Video)

Mwijaku amefunguka kuzungumzia gari ya Hamisa Mobetto ambayo imeonekana kutumiwa na watu wengine siku chache baada ya kupewa kama zawadi katika sherehe yake ya birthday party yake.