Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Mwijaku anaswa na Babalevo akiisifia show ya Diamond ya Ureno

Kamera ya Paparazi @officialbabalevo imemnasa DC wa Insta @mwijaku akiisifia Show ya @diamondplatnumz ya jana ambayo ilifanyika nchini Ureno 🤓

Mwijaku akiongea kwenye video hiyo ameeleza kuwa siku zote huwa anasifia kitu kizuri na hiyo show ya Ureno amefanya vizuri ingawa haamini kama ilikuwa ni show yake pekee yake.

Babalevo akitaka kujua mengi zaidi amemuuliza kuwa Harmonize huwa anafanya show za pekee yake ? kama ipo ni ipi? wasikilize kidogo.

Kuna chochote cha kujifunza katika hili baada ya kumaliza kuitazama video hii na kutasikia maneno aliyoyaongea @mwijaku ???

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents