Burudani

Mwijaku atia neno kuvunjika kwa Ndoa ya Wolper na Rich Mitindo

Kufuatia sakata la kuachana kwa Jackline Wolper pamoja na Rich Mitindo @mwijaku amezungumza na waandishi wa habari ambapo amesema “anazingua mimi ni mtu wa makesi kesi aseme ni mahakama ipi nikapekue waache watulie wazikane washazaa watoto washaanza kufanana wolper ataenda wapi jioni?? nani kuamuacha Wolper?

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo Five

Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents