Mwijaku atoa ya moyoni: Harmonize na Sallam sk mnaonyeshana chuki kwenye msiba, muombeni Mungu msamaha (+Video)

Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku amewageukia meneja wa Diamond Platnumz na Harmonize kwa kuwaonya juu ya tukio walilolifanya siku ya jana kwenye msiba wa aliyekuwa mke wa Babu Tale Morogoro.

Katika msiba huo Harmonize alionekana akimpa mkono wa salama meneja wa Diamond  Sallam Sk huku Sallam akiutupilia mbali mkono huo wa Harmonize.

Baada ya tukio hilo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi walitoa maoni yao lakini kubwa zaidi ni Mwihjaku tuwatumia ujumbe huu akiwaomba wamuombee dua marehemu pia wamuombe msamaha MwenyeziMungu kwa kile walichokifanya.

View this post on Instagram

Ujumbe wa Mwijaku kwa Harmonize na Sallam. mnaenda kuonyeshana chuki kwenye msiba, muombeni Mungu msamaha. Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku amewageukia meneja wa Diamond Platnumz @sallam_sk na @harmonize_tz kwa kuwaonya juu ya tukio walilolifanya siku ya jana kwenye msiba wa aliyekuwa mke wa Babu Tale Morogoro. Katika msiba huo Harmonize alionekana akimpa mkono wa salama meneja wa Diamond  Sallam Sk huku Sallam akiutupilia mbali mkono huo wa Harmonize. Baada ya tukio hilo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi walitoa maoni yao lakini kubwa zaidi ni Mwihjaku tuwatumia ujumbe huu akiwaomba wamuombee dua marehemu pia wamuombe msamaha MwenyeziMungu kwa kile walichokifanya. (📹 via @mwijaku ) written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

Related Articles

Back to top button