Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano

Mwijaku: Diamond ajirekebishe awe anaimba jukwaani sio kuruka sarakasi na kuwamwagia watu maji

Mwijaku aiponda Show ya @diamondplatnumz Ureno ya AFRONATION huku akilinganisha na show ya @burnaboygram akisema amezidiwa vitu vingi sana.

@mwijaku ameenda mbali akisema kama tunataka wasanii wetu wafanikiwe basi waambiwe ukweli

“Huwezi kuwa best performer kwa kuwapigia watu kelele na kuruka sarakasi, imba watu wanahitaji uimbe “

Akiiweka show ya @burnaboygram na kujaribu kukosea baadhi ya vitu.

Wewe u a maono gani kuhusu kauli ya @mwijaku baada ya mwanzo kuonekana kuisifia show ile??

@officialbabalevo upo hewani utupe majibu juu ya clip uliyoirekodi?? 🤓🤓 tuambie ukweli 🤔😄

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents