Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Mwijaku: Harmonize hajabadili dini, anamvuta Kajala ndio abadili
Mwijaku aiponda Show ya @diamondplatnumz Ureno ya AFRONATION huku akilinganisha na show ya @burnaboygram akisema amezidiwa vitu vingi sana.
@mwijaku ameenda mbali akisema kama tunataka wasanii wetu wafanikiwe basi waambiwe ukweli
“Huwezi kuwa best performer kwa kuwapigia watu kelele na kuruka sarakasi, imba watu wanahitaji uimbe “
“Harmonize hajabadili dini”