Mahojiano

Mwijaku: Mimi nimesomeshwa na Serikali ya Tanzania, mtu atasemaje mimi sio raia wa hapa, nimesikitika sana (+ Video)

Mtangazaji wa Clouds Fm Mwijaku ameeleza kwa masikitiko kutokana na kauli ya mmoja ya meneja wa lebo kubwa kumwambia yeye sio raia wa Tanzania na kuiomba Serikali iangalie uraia wake.

Mbali na hilo Mwijaku ameeleza sababu za kubishana na Baba levo huku wote wakiwa na familia zao kwanini wanayaendeleza haya mambo ya kubishana mitandaoni ? Msikilize Mwijaku.

“Wakati Alikiba wakitambulisha ngoma yao na Barnaba niliwaomba wamuweke Anjella wa Konde Gang kwenye ngoma yao maana anaweza sana.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents