@mwijaku na @jumalokole20 wamekuwa wakirushiana maneno mitandaoni kila mmoja akimponda mwenzake.
@jumalokole20 alianza kumkosoa @mwijaku baada ya kudai @kajalafrida alikosea kuvaa mavazi yasiyokuwa na maadili mbele ya viongozi wa Serikali.
Mwijaku naye hakunyamaza aliongea ya kwake kuhusu Lokole.
Kupitia #recapnamando @el_mando_tz amedadavua kwa urefu kabisa.