Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mwijaku: Roma unamkosea sana mke wako, bora muacheni mlee watoto

DC wa Instagram @mwijaku amemuandikia rapa wa muziki wa Bongo Fleva @roma_zimbabwe ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake nchini Marekani.

@mwijaku amemubia @roma_zimbabwe kuwa aache kumfuatilia mke wake kama vipi waachane ili wabaki kulea watoto tu.

Unahisi alichoandika @mwijaku yupo sahihi au unamshauri @roma_zimbabwe kipi??

 

Related Articles

Back to top button