Burudani

Mwijaku: Tanzania kuna lebo mbili za muziki, Konde Gang na Kings music (+ Video)

Mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku ametangaza kuwanunulia hisa wasanii wa lebo Konge Gang ya Harmonize na Kings Music ya Alikiba, nawanunulia wasanii watatu wa Konde Gang na wasanii watatu wa Kings Music.

Wasanii wa Konde Gnag ni Anjella, Killy na Ibraah lakini wasanii wa Kings Music ni Abdukiba, Tommy Flavour na K2ga hizi ndio lebo kubwa Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents