Burudani
Mwimbaji wa Kenya Eunice Kemunto aja na ngoma mpya
Licha yakufanya vizuri Kimataifa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nchini Kenya Eunice Kemunto ameachia kichupa kipya kinachokwenda kwa jina la I love you Sweetie ikiwa hii ni maalum kwa wapendanao
Ifahamike mwimbaji huyu amewahi kutoa nyimbo kali zilizofanya vizuri ikiwemo,we give you glory,asante Bwana,nalindwa na yesu na nyinginezo nyingi
Unaweza pita kwenye social digital platform za msanii huyu kutazama zaidi