HabariMichezo

Mwinyi Zahera aichana Taifa Stars, atabiri mechi na DRC Congo

Kocha wa Namungo FC Mwinyi Zahera amechambua mechi ya timu ya taifa ya Tanzania pamoja na DRC Congo ambao wapo katika kundi moja katika Michuano ya AFCON.

Kocha Mwinyi Zahera ametoa maoni yake kuhusu taifa stars na kusema mechi ya kwanza dhidi ya Morroco kama waliingia na mfumo wa kujilinda basi katika safu ya ushambuliaji walitakiwa kuwatumia wachezaji wenye Kasi,nguvu kama Kibu,Samatta na Msuva.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents