BurudaniFahamuHabariMuziki

Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kiki Afariki Dunia (Video)

Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia.

Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa.

 

 

Atakumbukwa King Kikii kwa wimbo wake uliotamba mno wa Kitambaa Cheupe.

Pumzika kwa amani Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kikii.🙏

 

Kuangalia video Kamili bonyeza link hapa chini:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents