HabariSiasa

Mzee Wasira, Lissu sio saizi yako – Heche

“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi yako, Lissu atashughulika na Rais” ——— Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche leo Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni Dar es salaam.

 

CC:Millard ayo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents