Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Mzee Yusuph ahoji, wanaochukua nyimbo za wenzao mnawazuiaje??
Mkongwe wa Taarabu nchini @mzeeyussuf amehoji kwa wale wasanii wanaotumia nyimbo za watu wanazuiliwaje??
Na jee kwa wale wasanii ambao nyimbo zao zomechukuliwa wanafaidikaje??