HabariMichezo

Na apa juu ya mama yangu mzazi tulivyofungwa na Raja CA nimelia- Mo

”Mimi mechi ya juzi ambayo tumefungwa na Raja Casablanca na apa juu ya Mama yangu mzazi nimekaa kwenye gari nimelia, nataka tu niweke taswira kwamba wana simba wajuwe ninavyoipenda @simbasctanzania . Na nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa.”- Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji.

”Leo, huu ni mwaka wa sita (6) tumekubaliana Bilioni 20 lakini nikifanya mahesabu mpaka sasa hivi kwenye miaka sita imefika rabda bilioni 50 ambayo nimewekeza. Bilioni 50 kama ningependa raha au kupenda kitu kingine zaidi ya Simba ningeweza kununua Ndege, ambayo ingeweza kunirusha kwenda New York, London kuja Dar es Salaam na kadhalika.”

”Nimepata fursa nyingi (opportunities) kuwekeza kwenye Klabu za nje, klabu za Ureno, Falme za Kiarabu.”

Imeandikwa na @fumo255

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents