Michezo

Nabi aitaka Yanga

Klabu ya Kaizer Chief ya nchini Afrika Kusini inatarajia kumenyana na Klabu ya Yanga kutoka Tanzania katika TOYOTA CUP mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Toyota Stadium  nchini Afrika Kusini.

Mpaka sasa bado tarehe rasmi ya Mtanange huo haijawekwa rasmi, IKumbukwe tu Kaizer Chief wamemtambulisha KOcha wa Zamani wa Klabu ya Yanga Nasserdine Nabi kuwa kocha mkuu kwa maana hiyo Yanga itaenda kukutana na kocha wake kwa mara ya kwanza toka aondoke Tanzania

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents