MahojianoVideos

Nadia Nakai aeleza kilichomleta Tanzania kutoka Afrika Kusini (+ Video)

Leo Bonngo5 tumefanya mahojiano na rapa kutoka Afrika Kusini ambaye pia yupo kwenye Reality show ya Young Famous & African ambayo pia @diamondplatnumz yupo huyu ni @nadianakai

Amezungumza kuhusu @diamondplatnumz kukosea Kiingereza kwa kusema Am a Thirty First badala ya Thirty one

Amezungumzia pia mahusiano yake na @diamondplatnumz lakini kubwa lingine ni kwamba amesema kutoka Tanzania hawajui wasanii wowote wale zaidi ya @diamondplatnumz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents