Naibu Waziri Katambi azindua Kampeni ya Kuisaka likizo ya uzazi


Kampeni ya kuiombaSerikali irekebishe sheria ya likizo ya uzazi kwawazazi hususan kwa wakina Mama inayo ongozwa na Doris Mollel Foundation, imepiga hatua sasa na kuzinduliwa leo hii na Mh Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Patrobas Katambi ambaye ameahidi kuwa serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuipeleka dira ya maendeleo ya taifa letu la Tanzania, uzinduzi huu umejumuisha taasisi mbali mbali ambazo zimeshirikiana na Doris Mollel Foundation ikiwemo (TGNP, TAWLA, Msichana Initiative, BrightJamii, PAT, AGOTA, KIPUNGUNI, WAJIKI, Vodacom Tanzania Foundation, WILDAF, Adv Hellen Bisimba, Anneth meena pamoja na TAMA, uzinduzi huu umefadhiliwa na Shirika la Women Fund Tanzania Trust.

Related Articles

Back to top button