Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel afanya ziara ya kushtukiza Airport kukagua vifaa vya kupimia Corona (+ Video)

Leo mchana Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara ya kushtukiza katika uwanaj wa Ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere kuangalia hali ya vifaa vya kupimia Corona.

Naibu Waziri akiongozana na baadhi ya wahusika (Madaktari wanaohusika na upimaji wa Corona) amezungumzia kuhusu baadhi ya watu wanaotoka nje ya nchi wakiwa wamepimwa tayari na baada ya kufika hapa Tanzania wakigomea kupima wakieleza wao tayari wameshapimwa hivyo kutokana na taratibu za Kitazania lazima wapimwe tena.

Pia amezungumzia kuhsu gharama za kupimia Corona ikiwa ni dola 25 sawa na Elfu Hamisi za Kitanzania.

Related Articles

Back to top button