Namna mbegu za kiume ‘Manii’ za wafungwa wa Palestina zinavyosafirishwa kwa siri kupandikizwa wake zao nyumbani (+ Video)

Manii inavukishwa kutoka jela na kupewa mtu ambaye ameshahudumia kifungo chake anayetoka jela .Wakati mwingine jamaa wanaoruhusiwa kuwatembelea wafungwa ndio hukabidhiwa ‘mali’ hiyo muhimu ili kuhakikisha kwamba Waalestina wanaendeleeza vizazi vyao hata chini ya utawala wa Israel na hali ngumu ya maisha katika sehemu zao .

Related Articles

Back to top button