
“mimi @godbless_lema namfanyia kampeni lissu @TunduALissu na kabisa namfanyia kampeni na nitamsaidia kwenye hii kampeni nimesema tena nitakuwa na wakati mgumu kwa kaka yangu (Mbowe) @freemanmbowetz kama hatanielewa lakini nina uchaguzi mkubwa zaidi wa kuchagua demokrasia dhidi ya utamaduni wetu.”
Ni maneno ya Godbless Lema @godbless_lema akizungumza na wanahabari leo Januari 14 Dar Es Salaam.