Michezo
Namungo kupewa Milioni 50 kuiteketeza Simba

Inaelezwa kuwa Uongozi wa klabu ya Namungo kwa kushirikiana na wadau umeweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kupata ushindi mbele ya mnyama leo.
Vigogo hao wametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Simba.