HabariMichezo

Namungo kuwavaa Mtibwa Sugar Jumatatu

Klabu  ya Namungo  inategemea kukutana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa ufunguzi wa ligi 2022/2023 utakaochezwasiku ya Jumatatu 15/8 majira ya 1:00 usiku katika uwanja waMajaliwa Lindi.

Hadi hivi sasa klabu hiyo imeendelea kufanya maandalizi yamchezo huo na michezo mingine ya msimu ujao kwakutambulisha wachezaji pamoja na kucheza michezo mbalimbaliya kirafiki ili kujiweka sawa kwa mapambano zaidi.

Wachezaji ambao wamekwisha tambulishwa hadi hivi sasa niAlidor Kayembe, Emmanuel Asante Seidou Blandja, Christopher Oruchum, Abdul Haji Omar, James Mwashinga, Pius Baswita, Kassim Haruna, Hassan Kabunda, ambaowanaungana na wachezaji wengine katika kulisukumagurudumu la Namungo Fc.

Sambamba na hili kupitia Kampuni Bora ya kubeti Tanzania Sokabet, unaweza kuweka bashiri zako mapema kabla yamchezo huu kuanza, au wakati mchezo huu unaendeleatembelea tovuti ya sokabet kujisajili na kuweka bashiri zakosasa

Cha kufurahisha, Sokabet imekuongezea machaguo zaidi ya 400 katika mechi moja unaweza kubashiri mfungaji wa goli, umilikiwa mpira, idadi ya magoli kwa mchezo huo na timu husika, namachaguo mengine mengi ambayo yako kwenye tovuti yasokabet.

Kubwa zaidi Sokabet inatoa bonus lukuki kama vile 100%ya wekezo la kwanza 10% ya pesa ambayo kwa bahati mbayaumepoteza bashiri zako pamoja na 3+1 bonus kwa upande wasports.

Yote haya ni ndani ya Sokabet, the best online casino and sports betting company in Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents