
“Mwenyekiti (@freemanmbowetz) amekuwa kwenye chama kwa miaka 30 lakini pia amekuwa kiongozi wa chama kwa miaka 21, Mbowe ni ndugu na kaka yangu tumetoka wote Machame, leo nimekuja kumuomba apumzike amuachie @TunduALissu afanye kazi ya uenyekiti. Tunavyosema mwenyekiti (Mbowe) apumzike hatusemi kwamba hana nguvu” @godbless_lema, Kada wa @ChademaTz