Kupitia Instagram yake @officialnandy ameandika kuwa:-
“Mume wangu miaka miwili ya ndoa yetu imekuwa fundisho kubwa kwangu kujua upendo ni kitu muhimu sana, uwepo wako umerahisisha maisha yangu na ya kipenzi chako NAYA jua tu tunakupenda sana. Nacho kuomba najua wanaume mmeumbiwa kupepesa macho
japo sio mwanaume wangu wewe
• (joke) popote
uendapo, chochote ufanyacho jua una watu wanakupenda na kukuhitaji sana, kuyashinda majaribu now days ni rahisi sababu kila kitu kishapitwa na wakati na wakati wenyewe ndo sasa kuonyesha mfano na kuwa mifano bora kwa watu wenye mapenzi ya kweli kuwa vijana wakiamua inawezekana. MUNGU wangu atulinde nitimize ahadi ya watoto wako 10 NAKUPENDA PY @billnass
HAPPY ANNIVERSARY MY LOVE