Nandy afichua walichofanyiwa Afrima baada ya kukosa tuzo (Video)

Muimbaji @officialnandy ambaye siku ya jana ameachia wimbo Party akiwa na @billnass , amefunguka matatizo wanayopitia wasanii wa Tanzania kwenye tuzo za Afrima huku akieleza jinsi @officialzuchu alivyokatishiwa maoezi yake ya show kisa msanii wa Nigeria.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button