Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Nandy amjibu Baba levo, ondoa pua yako kama puto

Kupitia instagra Baba levo alienda ku-comment kwenye page ya Nandy akidai eti msannii wa Nandy Yammi amepoa sana yaani hajachangamka mitanndaoni.

Baada ya commet hiyo Nandy alimjibu na kumwambia “Tunampenda hivyo hivyo opndoa pua yako kama Puto”

Wewe unaona comment ya Baba levo ipo sahihi??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents