Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES @officialnandy ameweka wazi kutafutwa na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani @usher kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao amemshirikisha @officialalikiba
@officialnandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse.
Weka comment yako hapa chini kutokana na hilo.
kama bado hujaangalia RECAP & MANDO link ipo chini hapa..