Nandy awa kivutio Kanda ya Nyanda za juu Kusini

Msanii Nandy alikuwa kivutio kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo mkoani Mbeya ambao walihudhuria uzinduzi wa bia mpya aina ya Guinness Smooth.

Msanii Nandy akipiga shoo wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Guinness Smooth mkoani Mbeya.

Nandy alifanikiwa kuteka mioyo ya wanafunzi walijitikeza kwa wingi katika uzinduzi wa Guinness Smooth ambao walionekana kuwa na kiu kubwa ya brudani ambayo alifanikiwa kuikata.

Akiongea katika tukio hilo la uzinduzi, meneja chapa wa SBL Ester Raphael alisema baada ya uzinduzi wa Guinness Smooth bia hiyo sasa itapatikana kwa wingi katika eneo lote la kanda ya Nyanda za juu kusini kwa shilingi 1,500 tu.

 

 

Related Articles

Back to top button