Burudani
Nandy aweka wazi kuhusu harusi yake na Bilnass, ipo hatua za mwisho (+ Video)
Mbali na hilo #Nandy amethibitisha ujio ya Festival yake. Akiongea na wana habari wakati anapata ubalozi mpya @officialnandy ameeleza kuwa harusi yao na @billnass tayari vikao vimeanza kwa maana hiyo ipo katika hatua za mwisho.
Kuhusu kuacha kufanya kazi na aliyekuwa meneja wake @mokobiashara amethibitisha kuwa ni kweli amemsimisha.