Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Nandy kuhusu Rayvanny kupigwa faini WCB, niliumia sana

Akifafanua zaidi @officialnandy amefunguka kuhusu mzozo unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu msanii @rayvanny kulipishwa fedha kwa sababu ya kushiriki katika nandy festival Songea

Mbali na hilo katika mahojiano msanii Nandy amesema “rayvany na mume wangu ni marafiki sana ata mama mtoto wake tunaukaribu mkubwa nilimwambia nenga aongee nae tutakakubaliana na uwongozi wake kuhusu taarifa zinazoendelea mitandaoni nilijiskia vibaya maana niliona kama nimemkostisha”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents