Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Nandy kuhusu wanaosambaza na kurekodi picha za utupu, mapenzi ni upofu kwanini umrekodi mwenzio??

Siku hizi kumeongezeka sana usambazwaji wa video za utupu mitandaoni kwa pande zetu kwa vijana wa kiume na vijana wa kike lakini nyingi zaidi nikiwa za wasichana.

@officialnandy amejaribu kutoa ushauri kwa vijana ambao ndio wanaosabaza video hizo na mara nyingi wanakuwa kwenye mahusiano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents