Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Nandy: Zuchu ni rafiki yangu na nazungumza naye sana kupitia WhatsApp

Kuhusu kile kilichozungumzwa kuwa @officialnandy ana ugomvi na @officialzuchu ameweka sawa kuwa yeye na Zuchu ni marafiki na huwa wanachati sana kupitia mtandao wa WhatsApp.

@officialnandy ameongeza kuwa mara ya mwisho kuchati na @officialzuchu ni baada ya Harusi na kwamba @officialzuchu alimpongeza baada ya kufunga ndoa na @billnass

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents