Burudani
Nawaroga sana wasanii wenzangu wanaziba riski sana – Dulla Makabila

Kwenye Podcast ya B4THEFAME na @el_mando_tz @dullamakabila amesimulia anavyowaloga wasanii wenzake pale wanapomzibia rizki lake.
Adai ana Waganga 28 Dar Es Salaam wapo watano na karibi kila mkoa ana Mganga.
Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive






